Mwanamke kuvaa punjabi yenye suruwali 


Swali: Baada ya kuangalia mavazi yaliyopo madukani na tukapata zinazositiri, tukapata vazi linaloitwa “punjabi”. Nayo ni kanzu ya wasaa inayofunika hadi nusu ya magoti. Chini ya hio mtu huvaa suruwali ndefu na ya wasaa…

al-Fawzaan: Ni suruwali?

Muulizaji: Ndio.

Jibu: Hapana, haiwezekani. Suruwali haiwezekani.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=rKR8UyI_8AM
  • Imechapishwa: 07/09/2020