Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke ambaye yuko katika eda yake kutazama TV?

Jibu: Ndio, ikiwa ni barnamiji yenye kunufaisha katika dini na ´Aqiydah yake. Ama ikiwa ni barnamiji yenye mambo ya batili, ushenzi na madhara, haijuzu kwake kutazama wala kwa mwengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
  • Imechapishwa: 25/05/2018