Mwanamke kuswali Dhuhr siku ya ijumaa

 Swali: Kipi kilicho juu ya mwanamke akiswali Dhuhr siku ya ijumaa katikati ya Khutbah au moja kwa moja baada ya adhaana?

Jibu: Hakuna juu yake kitu ikiwa jua limeshapindukia na baada ya adhaana ya pili. Aswali Dhuhr nyumbani kwake. Hakuna ubaya.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alifta.net/Fatawa/fatawaChapters.aspx?languagename=ar&View=Page&PageID=1235&PageNo=1&BookID=5
  • Imechapishwa: 20/03/2018