Swali: Ni ipi hukumu ya kitendo chake mwanamke ikiwa anasafiri kwa ajili ya kwenda kusoma?
Jibu: Ni haramu. Kitendo chake ni haramu. Masomo haya ni yepi, ni kuhusu mambo ya Dini yake au dunia? Haijuzu kufanya hivi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-11-09.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014