Mwanamke kunyoa nywele za mguuni mwake


Swali: Kuna dada anauliza kama inajuzu kwake kunyoa nywele za mguuni kwa ajili ya kujipamba?

Jibu: Tunachomnasihi aache kufanya hivyo. Kwa kuwa akishanyoa mara ya kwanza itakuwa akijishughulisha kila wakati wake kunyoa nywele za mguu wake. Ama kuhusiana na kuwa ni Haramu, sio Haramu. Lakini tunamnasihi asianze kufanya hivyo, kwa kuwa asimtaabishe kunyoa.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3050
  • Imechapishwa: 22/02/2018