Swali: Je, inajuzu kumpa mwanamke manukato ikiwa dhana zangu zimeegemea sana upande wa kuwa atatumia manukato haya wakati wa kutoka nyumbani?

Jibu: Msihi. Msihi ya kwamba haijuzu kujitia manukato wakati wa kutoka nyumbani. Mnasihi yule unayempa manukato haya. Muwekee wazi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (50) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-6-10.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020