Mwanamke kumkogesha mama mzee na mwendawazimu wasiojiweza


Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kumkogesha mwanamke ambaye ni mwendawazimu ambaye yuko hai na mwanamke ambaye ni mzee ikiwa hawawezi kujikogesha wenyewe?

Jibu: Akijiaminia kutopatwa na fitina na anayemuosha akawa na nguo zake, hakuna ubaya wa hili. Ama akikhofia nafsi yake kupatwa na fitina, hapana haijuzu, sawa kwake yeye na wengine.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=1827
  • Imechapishwa: 22/02/2018