Swali: Ni yapi maoni yako mwanamke kumnasihi mwanamume kwa njia ya kuamrisha mema na kukataza maovu?

Jibu: Ndio. Mwanamke anatakiwa kunasihi.

وَالْمُؤْمِنُونَ وَالْمُؤْمِنَاتُ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ يَأْمُرُونَ بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَوْنَ عَنِ الْمُنكَرِ

“Na Waumini wanaume na Waumini wanawake nimarafiki walinzi wao kwa wao: wanaamrisha mema na wanakataza maovu.” (09:71)

Mwanamke na yeye anatakiwa kuamrisha mema na kukataza maovu kama anavofanya mwanaume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%204-13-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015