Swali: Kuna mwanamke amemghadhibikia mume wake akawa amemwambia “Wewe ni haramu kwangu”. Ni ipi hukumu katika hali hii?
Jibu: Hii ni yamini. Atoe kafara ya yamini.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-10-15.mp3
- Imechapishwa: 10/11/2014