Swali: Je, mwanamke anaweza kujibia swali alilosikia au kulisoma?
Jibu: Ndio, ikiwa yuko na elimu. Wakeze Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wakeze wengi wa Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhunn) walikuwa wakitoa fatwa. Hayo hayo yalifanywa na wanawake wajuzi baada ya Maswahabah. Ikiwa yuko na elimu juu ya Qur-aan na Sunnah ajibu maswali na awafunze watu. Vilevile anaweza kuwanukulia fatwa aliyopata au aliyosikia kwenye redio. Ikiwa amehifadhi kitu awanukulie nacho. Anaweza kufanya hali kadhalika ikiwa amesoma kitu kwenye vitabu vya Ahl-us-Sunnah vinavyojulikana. Lakini inahitajia awe mwanafunzi na awe anaelewa. Awanukulie wengine maana. Yote haya ni katika kushirikiana katika wema na uchaji Allaah, kuinukuu elimu na kulingania katika haki.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.binbaz.org.sa/node/10566
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Je, mwanamke anaweza kujibia swali alilosikia au kulisoma?
Jibu: Ndio, ikiwa yuko na elimu. Wakeze Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wakeze wengi wa Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhunn) walikuwa wakitoa fatwa. Hayo hayo yalifanywa na wanawake wajuzi baada ya Maswahabah. Ikiwa yuko na elimu juu ya Qur-aan na Sunnah ajibu maswali na awafunze watu. Vilevile anaweza kuwanukulia fatwa aliyopata au aliyosikia kwenye redio. Ikiwa amehifadhi kitu awanukulie nacho. Anaweza kufanya hali kadhalika ikiwa amesoma kitu kwenye vitabu vya Ahl-us-Sunnah vinavyojulikana. Lakini inahitajia awe mwanafunzi na awe anaelewa. Awanukulie wengine maana. Yote haya ni katika kushirikiana katika wema na uchaji Allaah, kuinukuu elimu na kulingania katika haki.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.binbaz.org.sa/node/10566
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kujibu-maswali-ya-kidini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)