Mwanamke kuitikia salamu ya mwanaume


Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke mwenye msimamo kurudisha salamu kwa mwanaume ambaye amemtolea salamu naye yuko kwenye njia?

Jibu: Ndio. Kuitikia salamu ni wajibu. Ikiwa hana makusudio mabaya inajuzu. Ama ikiwa ana makusudio mabaya haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (67) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13854
  • Imechapishwa: 16/11/2014