Swali: Inajuzu kwa mwanamke kufanya kazi kama keshia kwenye duka ikiwa amelazimika kufanya hivo?

Jibu: Hapana, haijuzu kwake kufanya hivo. Anatakiwa kufanya kazi tu ambazo zinahusiana na wanawake. Hatakiwi kufanya kazi ambazo zina wanaume na wanawake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017