Mwanamke kufanyakazi katika mgahawa mchanganyiko


Swali: Je, inafaa kwa mwanamke wa Kiislamu anayeishi nje ya nchi hii kufanya kazi kwenye mgahawa ulio na mchanganyiko kati ya wanaume na wanawake?

Jibu: Hapana. Ikiwa kuna kitengo kilichowekwa maalum kwa wanawake hakuna neno. Asiwahudumie wanaume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017