Swali: Ipi hukumu ya mwanamke kumwangalia mwanaume kwenye TV; kama kuangalia du´aa, mashaykh na wanachuoni wakati wanatoa mihadhara?

Jibu: Kwa kweli haya mambo ya kuhudhuria wanaume mbele ya wanawake na wanawake mbele ya wanaume, huu ni msiba. Anaweza kusikiliza mawaidha na duruus kwenye redio na asitazame sura.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/alldroos?tid_1=240
  • Imechapishwa: 09/11/2014


Takwimu
  • 25
  • 413
  • 1,821,444