Mwanamke hana Adhaana wala Iqaamah


Swali: Ikiwa ataadhini mwanamke nyumbani kwake, au mwalimu mwanamke madrasani kwake…

Jibu: Hakuna adhaana kwa mwanamke. Mwanamke hakuwekewa katika Shari´ah adhaana wala Iqaamah.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://youtu.be/8gGnIz2BuhI
  • Imechapishwa: 28/09/2020