Swali: Adhaana na Iqaamah imewekwa katika Shari´ah kwa wanawake?

Jibu: Wanawake hawakuwekewa katika Shari´ah adhaana wala Iqaamah. Adhaana na Iqaamah ni kitu maalum kwa wanamme. Ama kuhusu mwanamke anatakiwa kuswali pasi na adhaana wala Iqaamah. Kwa msemo mwingine asiadhini na wala asikimu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (18)
  • Imechapishwa: 20/12/2020