Swali: Je, mwanamke anaweza kuchinja Udhhiyah yake kwa mkono wake?

Jibu: Ndio, inajuzu. Mwanamke anaweza kuchinja na haina neno. Kichinjwa cha mwanamke ni kama kichinjwa cha mwanaume. Midhali ni muislamu au ni mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab ni halali kichinjwa chake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020