Mwanamke anaweka sharti ya kutoongezewa mke mwengine juu yake

Swali: Inajuzu kwa mwanamke wakati wa kufunga ndoa kuweka sharti ya kutoongezewa mwanamke juu yake?

Jibu: Hapana. Asikataze kitu cha halali. Lakini hata hivyo aweke sharti ya uadilifu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017