Mwanamke anatakiwa kujiepusha na nguo za fitina


Swali: Inajuzu kwa mwanamke kuvaa nguo fupi inayofika nusu ya mkono mbele ya wanawake wenzake?

Jibu: Mwanamke anatakiwa kujiheshimu na ajiepushe na mambo ya fitina. Ni kweli kwamba hakuna ubaya midhali ni mbele ya wanawake wenzie. Lakini hata hivyo anatakiwa kuwa ni mwenye kujiheshimu na mwenye kujisitiri. Hivi ndivo bora zaidi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 14/04/2018