Swali: Inajuzu kwa mwanamke kuswali na nguo zenye kubana nyumbani kwake midhali amefunika mwili wake?

Jibu: Haijuzu kuvaa mavazi yenye kubana yanayoonyesha fomu ya viungo vyake, si ndani ya swalah wala kwenginepo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 26/07/2019