Mwanamke anapaswa kuosha uke wake kwa ndani na kwa nje?


Swali: Kuna wanawake wawili walijadili. Mmoja wao akasema ni lazima kwa mwanamke kuingiza kidole chake ndani na kuosha uke. Mwengine akasema lililo la wajibu ni kuosha tu nje ya uke. Ni yupi kati ya hawa wawili ambaye kapatia?

Jibu: Sahihi ni kwamba sio wajibu kwake kufanya hivo. Iwapo atafanya, basi inafaa.

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/297)
  • Imechapishwa: 14/11/2017