Swali 1030: Ni ipi hukumu ya mwanamke anayetumia Hijaab na anatoka mbele za wanaume ambao ni kando na yeye akiwa waziwazi? Baadhi ya nyakati hukaa pamoja nao akinywa kahawa, akizungumza na kutoka pamoja na wao na walii wake ameridhia jambo hilo.

Jibu: Haijuzu kwa mwanamke kufunua uso wake kwa wasiokuwa Mahram zake. Vilevile asikae na asitoke pamoja nao.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 410
  • Imechapishwa: 15/09/2019