Mwanamke aliye katika eda hafai kuoga?

Swali: Mwanamke aliye katika eda amekatazwa kujitia manukato na kujipamba. Je, amekatazwa vilevile kuoga?

Jibu: Hapana, hajakatazwa kuoga na kujisafisha. Amekatazwa kujitia manukato na kujipamba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2017