Mwanamali anatumia sabuni na shampoo wakati wa eda

Swali: Inajuzu kwa mwanamke aliyefiwa na mume wake kujitia manukato wakati anapotoka jikoni au chooni?

Jibu: Mwanamke mfiwa haijuzu kwake kujitia manukato wakati wa eda. Anaweza kuondosha harufu mbaya wakati wa kuoga kwa kutumia shampoo, sabuni au mkunazi. Vitu hivi vinaondosha harufu mbaya na kusafisha mwili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo%20%20-%2021%20-%2008%20-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015