Mwanafunzi na vitabu vya kichawi


Swali: Inajuzu kwa mwanafunzi kusoma vitabu vya wachawi ili awatahadharishe watu?

Jibu: Haijuzu kwake kufanya hivo. Allaah amemsalimisha nayo. Hivyo asivisome, asivitazame wala kuwa navyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 30/01/2021