Swali: Inajuzu kwa mwanamke kupanda peke yake na dereva kwenda chuo kikuu ikiwa hakupata mwingine wa kupanda naye?

Jibu: Haijuzu. Ni haramu kwake. Kupanda peke yake akiwa na dereva asiwe Mahram wake. Hii ni faragha iliyoharamishwa. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 27/11/2016