Mwalimu mjinga


Swali: Kwenye Madrasah yetu kuna mwalimu amesema kuwa Taabi´uun na waliokuja baada ya Taabi´uun ni wajuzi zaidi kuliko Maswahabah kwa kuwa Maswahabah wengi Hadiyth zilifichikana kwao na Taabi´uun ndio waliozikusanya. Ni ipi hukumu ya msemo huu na ni yapi maelekezo yako juu ya hili?

Jibu: Huyu ni mjinga. Mwalimu huyu ni mjinga. Apuuzwe. Huyu anazungumza kwa ujinga. Hazungumzi kwa elimu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2018