Mwalimu anapokea zawadi kutoka kwa mwanafunzi

Swali: Mwanamke huyu anafanya kazi ya kufunza katika shule ya msingi. Kuna mwanafunzi wa kike alimpelekea zawadi ambapo akaipokea kwa sababu ya kutomfanya akaona vibaya. Je, inajuzu kwake kufanya hivo?

Jibu: Ikiwa yuko na pato au mshahara, haijuzu kwake kupokea zawadi kutoka kwa wanafunzi. Lakini akiwa hana pato wala mshahara, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017