Swali: Inajuzu kwa mfanya Waqf kutumia mali ya Waqf yeye mwenyewe na familia yake?

Jibu: Inategemea na sharti aloweka. Ikiwa aliweka sharti kuitumia muda wa uhai wake, hakuna neno. Ikiwa hakuweka sharti asitumie chochote. Katika hali hii Waqf hii itatumika kwa ajili ya lile jambo alilonuia na kulilenga.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017