Mut´ah imefutwa na ni haramu


Swali: Ni yepi maoni yenye nguvu juu ya hukumu ya ndoa ya Mut´ah?

Jibu: Imefutwa. Haijuzu. Mut´ah imefutwa. Haijuzu kutendea kazi kitu kilichofutwa. Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Baaz (Rahimahu Allaah) ameandika kijitabu kuhusu ndoa ya Mut´ah. Kimechapishwa pamoja na vitabu vyake vyengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017