Swali: Wale wenye kusema kuwa imani haizidi na wala haipungui wanahesabika kuwa ni katika Ahl-us-Sunnah?

Jibu: Hapana, wanaenda kinyume na madhehebu ya Ahl-us-Sunnah. Wanaitwa “Murji-´ah Ahl-us-Sunnah”. Ni katika Ahl-us-Sunnah lakini wana chembe chembe za Irjaa´.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015