Swali: Ni ipi hukumu kwa mtu ambaye daima analala kwenye chumba chake tofauti na mke wake ili kuwaacha watoto wadogo na kwa sababu ya kazi. Mwanamke anadhurika kwa hilo.

Jibu: Muhimu ni yeye atumie usiku kwenye nyumba ambayo yumoemo. Sio lazima kwake kulala kwenye kitanda kimoja pamoja naye. Anaweza kulala kwenye nyumba moja na yeye, bi maana karibu yake. Hili ndio linalotakikana. Akilala na yeye kwenye kitanda kimoja, hili ndio bora zaidi ingawa sio lazima.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=138482
  • Imechapishwa: 16/09/2020