Mume na mke kufanya mazoezi ya swalah za usiku


Swali: Ni ipi hukumu ya mume kuswali na mke swalah za Sunnah usiku ili waweze kuwa na uchangamfu wa kusimama usiku?

Jibu: Hakuna neno. Hakuna neno kwa hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/montaqo-17-10-1434_1.mp3
  • Imechapishwa: 20/09/2020