Mume kusafiri na mama mkwe da dada wa mke wake

Swali: Je, inajuzu kwa dada wa mke wangu kusafiri pamoja na sisi; mimi, mke wangu na mama yake?

Jibu: Kuhusu dada wa mke hapana. Ama mama wa mke, wewe ni Mahram kwake. Dada wa mke wewe sio Mahram wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-11-09.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014