Swali: Mwenye kumlaani mke wake ni kama vile kampa talaka?

Jibu: Hapana, si kama aliyemtaliki. Isipokuwa tu akidhihirisha kuwa kakusudia kumtaliki. Kumlaani ni haramu kwake mume, kumlaani ni haramu kwake.

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://z-salafi.com/v2/action?s_menu=23&idFatwa=2559
  • Imechapishwa: 22/09/2020