Swali: Ni ipi hukumu ya baba kuwagawia watoto mirathi yake wakati bado yuko hai ili mke wake asimrithi?

Jibu: Haijuzu kumpokonya mirathi yake. Ikiwa hili ndio lengo haijuzu. Pamoja na hivyo ni sawa akaigawa mirathi yake kwa warithi kwa mujibu wa Shari´ah. Hata hivyo haijuzu kwake kumpokonya mke mirathi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir-ayat-qrran-19-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 20/06/2020