Swali: Je, ni sahihi swalah ya mwanamke pamoja na mumewe?

Jibu: Ndio. Hakuna neno kwa mume akamswalisha. Lakini mwanamke anatakiwa kusimama nyuma yake. Muda wa kuwa ni mke wake, basi hakuna neno.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin Humayd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Ibn Humayd, uk. 129
  • Imechapishwa: 21/05/2021