Mume ameshurutisha sehemu ya mshahara wa mke

Swali: Mume akimpa idhini mke kutoka nje kufanya kazi inafaa kwake kumuwekea sharti kumpa sehemu ya mshahara wake?

Jibu: Hakuna neno, waislamu wako kwa masharti wanayowekeana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2017