Mujaahid hatofanyiwa hesabu?


Swali: Mwenye kuuawa katika njia ya Allaah Ataingia Peponi pasina hesabu wala adhabu?

Jibu: Allaah ndiye Anajua zaidi. Kunatakiwa kuwepo dalili.

  • Mhusika: maam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_10.mp3
  • Imechapishwa: 23/06/2018