Muislamu mpishi anafanyakazi ya nguruwe

Swali: Kuna mtu anafanyakazi kama mpishi katika nchi ya kikafiri. Anapika nyama ya nguruwe na nyama nyinginezo. Je, inajuzu kwa muislamu huyu kuendelea kufanyakazi hii?

Jibu: Hapana, haijuzu akaendelea na kazi hii. Apike nguruwe? Anawasaidia katika batili na batili yao na kuwatumikia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (34) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid-17-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017