Muislamu kama huyu hatakiwi kuswaliwa


Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye amekufa akiwa katika hali ya kuyaomba msaada makaburi?

Jibu: Ikiwa muombaji anasema “ee fulani! Niokoe” ni shirki. Sio muislamu na wala hatakiwi kuswaliwa. Vilevile asizikwe kwenye makaburi ya waislamu. Tunamuomba Allaah usalama na afya. Kwa sababu amezibatilisha ´ibaadah zake kwa kule kuwataka uokozi wengine badala ya Allaah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa//index.cfm?do=cms.AudioDetails&audioid=67955&audiotype=lectures&browseby=speaker