Swali: Mwenye kufa hali ya kuwa haswali anaswaliwa?

Jibu: Mkihakikisha kuwa alikuwa haswali kabisa, si nyumbani kwake wala pamoja na mkusanyiko, amekufa juu ya hilo na hakutubu, msimswalii.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
  • Imechapishwa: 09/08/2020