Muislamu asiyetimiza sharti za shahaadah

Swali: Ni ipi hukumu kwa yule ambaye hatimizi sharti za “Laa ilaaha illa Allaah”?

Jibu: Ikiwa anaamini maana yake na hajui sharti zake… ambaye si msomi huenda asijue sharti zake. Kilicho muhimu ni kwamba aamini kuwa Allaah ni Mmoja pekee, kwamba hakuna mwabudiwa haki isipokuwa Allaah na wengineo ni waungu wa batili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 100
  • Imechapishwa: 03/08/2019