Muhaajiruun ni bora zaidi kuliko Answaar


Swali: Ni wepi wenye fadhila zaidi; Muhajiruun au Answaar?

Jibu: Muhaajiruun ndio wabora zaidi. Kwa ajili hio ndio maana wanatajwa kabla ya Answaar. Muhaajiruun ndio wabora zaidi. Wameacha mali zao, manyumba yao na miji yao. Wao ni wabora zaidi kuliko Answaar.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17475
  • Imechapishwa: 25/11/2017