148- Nilimuuliza baba yangu mtu apanguse juu ya khofu kwa muda kiasi gani katika nchi ya vita. Akajibu:

“Kufuta juu ya khofu ni mamoja katika nchi ya vita na nchi zengine zote; kwa msafiri ni michana mitatu na nyusiku zake na mkazi ni mchana mmoja na usiku wake.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullâh bin Ahmad bin Hanbal (kfk. 290)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/117)
  • Imechapishwa: 07/02/2020