Swali: Mufawwidhwah ni bora kuliko Mu´awwilah pamoja na kujua kwamba yote mawili ni madhehebu batili?

Jibu: Yote mawili ni batili. Lakini hata hivyo wanachuoni wanasema kuwa Mufawwidhwah ni waovu zaidi kuliko Mu´awwilah. Kwa sababu wamemfanya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah na wengine wote kuwa ni wajinga.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (02)
  • Imechapishwa: 01/05/2020