Muadhini kujijibu mwenyewe kwa siri baada ya kila neno

Swali: Je, muadhini ajijibu mwenyewe wakati wa kutoa adhaana?

Jibu: Ndio, ajijibu mwenyewe baada ya kila neno au sentesi/jumla. Lakini afanye hivo kwa siri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-10.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014