Swali: Je, muadhini ajijibu mwenyewe wakati wa kutoa adhaana?
Jibu: Ndio, ajijibu mwenyewe baada ya kila neno au sentesi/jumla. Lakini afanye hivo kwa siri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-10.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014