Mtume anaitikia salamu ya mwenye kumsalimia?

Swali: Je, imepokelewa kwamba wakati mtu anapomswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) karibu na kaburi lake basi anarudishiwa roho yake na anamwitikia mtu yule salamu?

Jibu: Ndio, haya yamepokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 07/11/2018