Mtu Kutoa Salaam Anapoingia Katika Nyumba Isiyokuwa Mtu


Swali: Wakati mtu anapoingia nyumbani na hakuna mtu halafu akatoa Salaam anakuwa amejitolea Salaam yeye mwenyewe au Malaika?

Jibu: Kilichothibiti ni kutowatolea Salaam watu wa nyumbani ikiwa wako nyumbani. Ama ikiwa hakuna mtu nyumbani, inatosheleza kwake kusema “Bismillaah” kabla ya kuingia. Kufanya hivi kunatosheleza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014